Ufanyialo wengine ndilo utakalofanyiwa

Siku niliposoma hili andiko kwa mara ya kwanza nakumbuka, kwanza nilipata mshtuko flani baada ya kulisoma, halafu nikajikuta nikitafakari vitu vingi sana.

Hebu kwanza tusome pamoja andiko hili

ZABURI 109

17 Naye alipenda kulaani, nako kukampata.Hakupendezwa na kubariki, kukawa mbali naye

▶Huu mstari wa 17 umenishangaza sana, halafu ukanifungua na kunifundisha vitu vya msingi sana katika haya maisha tunayoishi

Namna pekee ya kuwa na Amani ni kuishi Mapenzi ya Mungu, Kwa njia hii Moyo wako hautafadhaika, hautayumbishwa na hautajuta kwa kuwa utakua upo katika njia ya Mungu na njia ya Mungu haina Majuto kwa kuwa ni njema.

Kuumbwa kwa mtu, Mungu alivyoumba binadamu

Mtu ni kiumbe pekee chenye mwili na roho kilichoumbwa kwa sura na mfano wa Mungu. Mungu alipotaka kumuumba mtu alisema “Tumfanye mtu kwa mfano wetu na sura yetu” (Mwa. 1:26-27) Kuumbwa kwa sura na mfano wa Mungu maana yake tuna roho zenye akili na utashi yaani uwezo wa kutofaitisha mema…

Utatu Mtakatifu, Mungu Baba, Mungu Mwana na Mungu Roho Mtakatifu

Mungu ni nani? Sifa za Mungu

Mungu ndiye Muumba wa vitu vyote, katika mbingu na nchi, Mkubwa wa Ulimwengu mwenye kuwtunza watu wema na kuwaadhibu watu wabaya. (Mt: 6:8-9, Yoh 20: 17) Sifa za Mungu Mungu ni Muumba wa vitu vyoteMungu ni Muumba wa vyote maana yake amefanya vitu vyote kwa kutaka tuu pasipokutumia kitu chochote…

Tarehe ya Pasaka inavyopatikana

KALENDA za mwanzo ziliutumia mwezi wa
angani kama kipimo cha muda. Ziliitwa “Lunar
calender” au Kalenda-Mwezi. Tarehe 1 ya
Mwezi ilikuwa ni siku ulipoandama yaani
Mwezi-Mdogo (Crescent Moon).
Mwezi unapofika siku ya 15 unakuwa umefikia
ukubwa wa juu na huitwa Mwezi-Mkubwa (Full
Moon). Hivyo kwa kalenda ile tarehe 15
ilikuwa ni siku ya Mwezi-Mkubwa.

Bikira Maria

MAFUNDISHO KUHUSU NAFASI YA MAMA BIKIRA MARIA

Leo nimeamua kutoa makala kuhusu Bikira Maria Baada ya maswali mbalimbali kuibuka kuhusu nafasi yake kwetu sisi. Chanzo cha makala hii ni www.alfagems.com MAFUNDISHO KUHUSU NAFASI YA MAMA B. MARIA Sisi Wakatoliki nyakati hizi zilizojaa madhehebu mbalimbali ya Kikristo, yanayotumia Biblia na kuitafsiri kadiri yaimani yao ama wenyewe wanavyojisikia kwa namna…

Nifunge nini Kwaresma? Mambo ya kufunga kipindi cha Kwaresima

NIFUNGE NINI?Funga huzuni upate furaha,Funga ulabu upate siha,Funga majivuno upata utukufu,Funga uzinzi upate wongofu,Funga kisirani upate utakatifu, Funga umbea upate fanaka,Funga wivu upata baraka,Funga unafiki upate uchaji,Funga kinyongo upate faraja,Funga kwaresima wakati ni huu Funga kiburi ujazwe hekima,Funga jeuri ujawe rehema,Funga hofu ujazwe imani,Funga kinywani ujazwe moyoni,Funga kisirani ujazwe rohoni,Funga dharau ujazwe heshima,Funga majungu, ujazwe neema,Funga usiri ujawe wafuasi,Funga tamaa ujazwe kiasi,Funga kwaresima wakati ni huu.

Utatu Mtakatifu, Mungu Baba, Mungu Mwana na Mungu Roho Mtakatifu

Ufafanuzi wa Sala ya Baba yetu

Baba Yetu uliye mbinguni,jina lako litukuzwe;ufalme wako ufike,utakalo lifanyikeduniani kama mbinguni.Utupe leo mkate wetu wa kila siku,utusamehe makosa yetu,kama tunavyowasamehe na sisi waliotukosea.Usitutie katika kishawishi,lakini utuopoe maovuni.Amina Ufafanuzi wake uliotumiwa na Fransisko wa Asizi BABA YETU mtakatifu kabisa: muumba, mkombozi, mfariji na mwokozi wetu. ULIYE MBINGUNI: katika malaika na katika watakatifu, ukiwaangazia…

Maana ya siku ya Jumatano ya Majivu

Utangulizi Wakati umetimia na ufalme wa Mungu umekaribia, tubuni na kuiamini Injili, (Mk 1:15), haya ndiyo maneno ya kwanza ya Yesu ambayo kadri ya Mwinjili Marko yanafungua kazi ya hadhara ya Yesu, kwa maana hiyo kazi ya Yesu inaanza kwa kuwaandaa watu katika toba ili hatimaye, wapate kuukaribia au kuingia…