Litani ya Bikira Maria
- Bwana utuhurumie
- Bwana utuhurumie
- Kristo utuhurumie
- Bwana utuhurumie
- Bwana utuhurumie
- Kristo utusikie
- Kristo utusikilize
- Mungu Baba wa Mbinguni,β¦β¦ Utuhurumie
- Mungu Mwana Mkombozi wa dunia β¦β¦β¦ Utuhurumie
- Mungu Roho Mtakatifu β¦β¦.. Utuhurumie
- Utatu Mtakatifu Mungu Mmoja β¦β¦.. Utuhurumie
- Maria Mtakatifu β¦β¦β¦. utuombee
- Mzazi Mtakatifu wa Mungu β¦β¦.. utuombee
- Bikira Mtakatifu Mkuu wa Mabikira β¦β¦.. utuombee
- Mama wa Kristo β¦β¦β¦ utuombee
- Mama wa Neema ya Mungu β¦β¦β¦β¦.. utuombee
- Mama Mtakatifu sana β¦β¦β¦ utuombee
- Mama mwenye usafi wa Moyo β¦β¦β¦.. utuombee
- Mama mwenye ubikira β¦β¦β¦.. utuombee
- Mama usiye na doa β¦β¦β¦.. utuombee
- Mama mpendelevu β¦β¦β¦. utuombee
- Mama mstajabivu β¦β¦β¦. utuombee
- Mama wa Muumba β¦β¦β¦. utuombee
- Mama wa Mkombozi β¦β¦β¦β¦.. utuombee
- Mama wa Kanisaβ¦β¦β¦.. utuombee
- Bikira mwenye utaratibu β¦β¦β¦β¦.. utuombee
- Bikira mwenye heshima β¦β¦β¦β¦.. utuombee
- Bikira mwenye sifa β¦β¦β¦β¦.. utuombee
- Bikira mwenye uwezo β¦β¦β¦β¦.. utuombee
- Bikra mweye huruma β¦β¦β¦β¦.. utuombee
- Bikra mwaminifuβ¦β¦β¦β¦.. utuombee
- Kioo cha haki β¦β¦β¦β¦.. utuombee
- Kikao cha hekima β¦β¦β¦β¦.. utuombee
- Sababu ya furaha yetu β¦β¦β¦β¦.. utuombee
- Chombo cha neema β¦β¦β¦β¦.. utuombee
- Chombo cha kuheshimiwa β¦β¦β¦β¦.. utuombee
- Chombo bora cha ibada β¦β¦β¦β¦.. utuombee
- Waridi lenye fumbo β¦β¦β¦β¦.. utuombee
- Mnara wa Daudi β¦β¦β¦β¦.. utuombee
- Mnara wa pembe β¦β¦β¦β¦.. utuombee
- Nyumba ya dhahabu β¦β¦β¦β¦.. utuombee
- Sanduku la Agano β¦β¦β¦β¦.. utuombee
- Mlango wa Mbingu β¦β¦β¦β¦.. utuombee
- Nyota ya asubuhi β¦β¦β¦β¦.. utuombee
- Afya ya wagonjwa β¦β¦β¦β¦.. utuombee
- Kimbilio la wakosefu β¦β¦β¦β¦.. utuombee
- Mtuliza wenye huzuni β¦β¦β¦β¦.. utuombee
- Msaada wa waKristo β¦β¦β¦β¦.. utuombee
- Malkia wa Malaika β¦β¦β¦β¦.. utuombee
- Malkia wa Mababu β¦β¦β¦β¦.. utuombee
- Malkia wa Manabii β¦β¦β¦β¦.. utuombee
- Malkia wa Mitume β¦β¦β¦β¦.. utuombee
- Malkia wa Mashahidi β¦β¦β¦β¦.. utuombee
- Malkia wa Waungama dini β¦β¦β¦β¦.. utuombee
- Malkia wa Mabikira β¦β¦β¦β¦.. utuombee
- Malkia wa Watakatifu wote β¦β¦β¦β¦.. utuombee
- Malkia uliyepalizwa Mbinguni β¦β¦β¦β¦.. utuombee
- Malkia wa Rozari takatifu β¦β¦β¦β¦.. utuombee
- Malkia wa amani β¦β¦β¦β¦.. utuombee
- Mwanakodoo wa Mungu uondoaye dhambi za dunia,β¦β¦β¦β¦..Utusamehe ee Bwana.
- Mwanakondoo wa Mungu uondoaye dhambi za dunia,β¦β¦β¦β¦..Utusikilize ee Bwana
- Mwanakondoo wa Mungu uondoaye dhambi za dunia,β¦β¦β¦β¦..Utuhurumie.
- Utuombee, Mzazi Mtakatifu wa Mungu,β¦β¦β¦β¦..Tujaliwe ahadi za Kristo.
Tuombe
Ee Bwana Mungu, utujalie sisi watumishi wako afya ya roho na mwili siku zote; na kwa maombezi matukufu ya Maria Mtakaatifu Bikira daima, tuopolewe na mashaka ya saa, tupate na furaha za milele. Kwa Kristo Bwana wetu, Amina.
Recent Comments