Posted: June 21, 2024
Kampeni hii inaamini kuwa watu wenye ulemavu wanayo haki na nafasi sawa kama watu wengine katika jamii, na wanastahili kuishi kwa amani na furaha kama binadamu wengine. Kwa hiyo, kampeni hii inahimiza kila mtu kwa nafasi yake kuchangia katika kuboresha maisha ya watu wenye ulemavu.
Nguvu hutoka kwa Bwana
Katika imani, yote yanawezekana
Mungu ni mwema, wakati wote!
Bwana yuko karibu na wote wanaomwita
Rehema hushinda hukumu