Posted: June 21, 2024
Lengo kuu la kampeni hii ni kudumisha amani na upendo bila kuangalia tofauti zetu. Kampeni hii inaamini kuwa katika upendo kuna amani, na inafundisha kuwa upendo wa kweli ni kuwafanyia wengine vile ungependa kufanyiwa na wao. Kila mtu anapaswa kumfanyia mwenzake vile anavyopenda kufanyiwa.
Nguvu hutoka kwa Bwana
Katika imani, yote yanawezekana
Mungu ni mwema, wakati wote!
Bwana yuko karibu na wote wanaomwita
Rehema hushinda hukumu