NDOA inafungwa KANISANI Mchungaji akauliza-Yeyote mwenye Pingamizi La Ndoa hii kufungwa aje Mbele, +++ KIBABU kikasimama na kwenda Mbele,
Bi harusi akaanguka na akazimia ghafla!๐ญ๐ญ๐ญ
Mchungaji- Tuambie Babu Pingamizi Lako!
Babu-Nimeamua kuja mbele,kule nyuma sisikii vizuri! watu hoiiii!!
hata mimi hoiโฆ๐๐๐๐๐๐๐
References:
Google ScholarResearchGate
Semantic Scholar
AckySHINE
Hii imenikuna hadi nina furaha sana! ๐๐
Hii ni kali kabisa! Siwezi kushiba! ๐
๐๐ ๐๐
Hii kichekesho inastahili tuzo! ๐
Ninashiriki hii na marafiki zangu mara moja! ๐