Zifahamu dhambi ambazo huondolewa na PAPA pekee au Padre kwa ruhusa maalumu kutoka kwa Baba Mtakatifu
1.Kumdhuru baba mtakatifu kimwili mfano:kumpiga au kumtemea mate 2.Kukufuru Ekaristi Takatifu mfano kutema na kuchezea …
Read More Β»1.Kumdhuru baba mtakatifu kimwili mfano:kumpiga au kumtemea mate 2.Kukufuru Ekaristi Takatifu mfano kutema na kuchezea …
Read More Β»Sakramenti ya ndoa ndio yenye kuwaunganisha wakristo wawili mume namke waliopendana kwa hiari bila shuruti au vitisho au kizuizi kwa kuwapa neema ya kuishi pamoja kitakatifu wakiwalea watoto wao katika utakatifu
Read More Β»Mpenzi msomaji, kumekuwa na tuhuma nyingi dhidi ya wakatoliki kwamba wanaabudu sanamu. Je, tuhuma hizo …
JE, WAKATOLIKI WANABUDU SANAMU? Read More »
Read More Β»Kiitikio hicho tunakifahamu sisi sote; tunaitikia mara nyingi lakini je, tunaelewa umuhimu wake? Binafsi nikichunguza …
Asili na matumizi ya Neno “AMINA” kama kiitikio muhimu katika Liturujia Read More »
Read More Β»KWANINI NYIE WAKATOLIKI MNAUNGAMA DHAMBI KWA PADRE AMBAYE NI MWANADAMU NA MDHAMBI BADALA YA KUUNGAMA …
Kwa nini Wakatoliki wanaungama dhambi kwa Padri? Read More »
Read More Β»Tumeumbwa kwa mfano na sura ya Mungu maana yake tuna roho zenye akili na utashi yaani uwezo wa kutofautisha mema namabaya, na zitakazoishi milele.
Read More Β»Mungu aliumba Dunia kwa siku sita hatua kwa hatua kama ifuatavyo; Siku ya kwanzaMungu aliumba …
Read More Β»Sala ni kuinua mioyo yetu kwa Mungu na kuongea nae. Kuongea maana yake ni kusema na Kusikiliza. Sala sio kuongea tuu, sala ni kuongea na kusikiliza. Mungu anatualika tuongee nae kwa kusema na kusikiliza.
Read More Β»Neema ni nini?
Neema ni kipaji cha roho kinachopita nguvu za viumbe vyote; ndicho kipaji tupewacho na Roho Mtakatifu ili tupate uzima wa milele. (Lk 1:30, Rum 5:2)
Ishara ya Msalaba ni tendo la mtu kugusa paji la uso, kifua na mabega kwa …
Ijue Ishara ya Msalaba Read More »
Read More Β»