*Boss*:-kijana unataka nini ndani ya ofisi zangu?
*Jamaa*:-Samahani naomba kazi ya ulinzi ndugu.
*Boss*:-umesoma mpaka wapi?
*Jamaa*:-mpaka form four.
*Boss*:-unajua kingereza?
*Jamaa*:-kwani hao wezi wanakuja na wazungu???.
๐
๐
๐
๐
๐
๐
References:
Google ScholarResearchGate
Semantic Scholar
AckySHINE
๐ Nitaiiba hii bila shaka!
Hii imenikumbusha enzi zile! ๐ ๐
Ucheshi wenu ni wa hali ya juu sana! ๐๐
๐ Siwezi hata kupumua, ni kichekesho sana!
๐๐คฃ๐๐