DADA alienda Salon wakati anasukwa akaingia
MKAKA mtanashati,
DADA akaamua kujaribu bahati yake.
DADA:Mambo? KAKA:Poa.
DADA:Mimi na wewe tunaweza kuongea baade?
KAKA:Kuhusu nini?
DADA:Nimekupenda nataka nikutoe out.
KAKA:Sawa ila nitamwambia nini
MKE wangu?
DADA:Aah ilo sio tatizo mdanganye tu,mwambie unakwenda kumtembelea rafiki yako hospitalini.
KAKA:Mwambie mwenyewe huyo hapo anayekusuka.
ย
Unajua nn kiliendelea?
References:
Google ScholarResearchGate
Semantic Scholar
AckySHINE
๐๐๐
๐ Lazima nihifadhi hii!
Hii ni kichekesho kali sana, ninashiriki na kila mtu! ๐
Asante Ackyshine
๐ Dhahabu ya vichekesho!