Zawadi ya Kipekee kwa mtu

Kuna Zawadi moja ya Kipekee ya kumpa mtu ambayo ni

Kusali na Kuomwombea Mtu aweze kuingia Mbinguni.

Je, ulishawahi kutoa zawadi hii hasa kwa wale unaowapenda?

Kila kitu kitabaki hapa duniani na kitapita na kusahauliwa lakini hili halina mwisho