Utatu Mtakatifu, Mungu Baba, Mungu Mwana na Mungu Roho Mtakatifu

Maombi Saba Yaliyo Katika Sala ya Baba yetu

Maombi saba kwenye sala ya Baba yetu ni haya;
  1. Jina lako litukuzwe
  2. Ufalme wako ufike
  3. Utakalo lifanyike
  4. Utupe leo Mkate wetu wa Kila Siku
  5. Utusamehe makosa yetu
  6. Usitutie katika kishawishi
  7. Utuopoe maovuni