1) gari la kuvutwa halina overtake
2) kisigino hakikakai mbele
3) wimbo wa taifa haupgwi disko
4) feni haiwashwi beach
5) mshkaki hauchomwi kwa jiko la ges
6) mganga haagiz tembele
7) hata bibi alikuwa bint
8) mke wa mtu sumu,mume wamtu maziwa
9) kipara bila pesa ni kovu
10) mbwa hanenepi migiuu
11) picha ya rais haina bodyguard
12) mjini shule kijiji tuition
13) saa ya ukutani haivaliwi mkonon
14) heshima pesa shkamoo makelele
15) ulinz pesa bastora mzgo
16) kuku ni kuku jogoo mbwembwe
17) kusoma kuelewa kukesha mbwembwe
References:
Google ScholarResearchGate
Semantic Scholar
AckySHINE
I’m so happy you’re here! 🥳













































































😂 Sijacheka hivi kwa muda mrefu sana!
MISEMO
Balaaaa
Dah: mnachekesha kweli ety
ya ni abu apa kutoka sido nilikua naomb mniunge namimi niwe natupia misemo watu walike
ABU MAHEMBE KGM TZ
HIi NIKWA MABEST Frend wote
H£LO B£ST Frend
WAMBI£ SISI NIMABEST FRENDI
WATASEMA SANA SISI BADOTUPO T£NA TUPOSANA HAWAJUI KAMA MANENO YAO NDO TAMBIKORA YANAZIDI KUKOR£ZA URAFIKIWE TENA WAKAZANE
ABU MAHEMBE KGM TZ SIDO SAMIRU SIDO KGM TZ MISEMO ITAKAYO KUACHA HOI NAKICHEKO
.
“%mtoto kaambiwa %nababayake hongera mwanangu umemariza chuo kikuu chagua zawadi yoyote uwipendayo dg akajibu “naomba hela nikamuowe bibi mana kila siku ananita mmewake ” baba akajibu mshenzi mkubwa wewe %huwezi kumuowa yule nimamayangu mzazi %dg akajibu mbona wewe umemuowa mamayangu mzazi sijasema kitu kumbe inaumaee kama nivo nenda kwamayako namimi nibaki namamayangu kilamtu abaki namayake ungekuwa niwewe ungemjibu nini huyu dg hahahahahahahahaha
ukiona maisha nimagum pambana nahaliyako wekausha2 hatagali lazima moto kunamda huwa linaungua
ukiona maisha nimagum pambana nahaliyako wekausha2 hatagali lazima moto kunamda huwa linaungua (ABU)(mikidadi)apa
acha kazi uwone kazi inavokua kazi kupata kazi
ABU AP 0681305278
ety jamani% kipi niujinga kati yahivi
%kumkimbia simba polini wakati ulikua unaenda kujinyonga
“kutoa mimba alafu unalala namdori
“kumpenda mtu alafu unaogopa kumambia
“kufuta namba yampenzi wako kwahasira wakati unayo kichwani
“kwenda dukani kununua sum unywe ujiuwe alafu unasubili chenchi
nipeni jibu 0681305278 ABU APA MAHEMBE NDOKWETU KGM TZ
ety jamani% kipi niujinga kati yahivi
%kumkimbia simba polini wakati ulikua unaenda kujinyonga
“kutoa mimba alafu unalala namdori
“kumpenda mtu alafu unaogopa kumambia
“kufuta namba yampenzi wako kwahasira wakati unayo kichwani
“kwenda dukani kununua sum unywe ujiuwe alafu unasubili chenchi
nipeni jibu 0681305278 ABU APA MAHEMBE NDOKWETU KGM TZ
ety jamani% kipi niujinga kati yahivi
%kumkimbia simba polini wakati ulikua unaenda kujinyonga
“kutoa mimba alafu unalala namdori
“kumpenda mtu alafu unaogopa kumambia
“kufuta namba yampenzi wako kwahasira wakati unayo kichwani
“kwenda dukani kununua sum unywe ujiuwe alafu unasubili chenchi
nipeni jibu 0681305278 ABU APA MAHEMBE NDOKWETU KGM TZ
kila lenyemwanzo halikosi mwisho hata mwisho nao unamwishowake
kila lenyemwanzo halikosi mwisho hata mwisho pia unamwishowake hata boss pia anaboss wake hatami abu mikidadi naishi2 ila namwishowangu
“TANGAZO TANGAZO masika imefika “kwawalewote wanaotaka kupanda ndege lengi loizi loizi ” “mabasi pg 0683015278 mbegu zake ninazo NIABU APA MTOTO WAMIKIDADI SAIDI BY
OK
“mala paaa tunaenda “mbinguni alafu tunaambiwa ” sadaka
“ulizokua unatoa
“duniani ndo
matumizi yako uku
mbinguni mh
haki yamungu kunawengine tutakua omba omba jamani tutoweni sadaka
abu apa 0681305278
ABU sido misemo
usiombe siku mpenziwako agombane nampenziwake
abu misemo
mama wakambo simama mana akikaa ndo utasema mama wakambo siurale
😆 Hiyo punchline ilikuwa kali!
Zote kali
“unasema beby wako “anakupenda sasa fanya “ivi chukua gunia la hela “nawewe mkae apo “alafu umwambie beby “chagu kitu ukipendacho “kati yaiili gunia lahela namimi alafu “tuone ABU APA niulize mimi nambayangu iyapa0681305278
Hahahaha mnanikumbuxha enzi zang
“sikumoja PADR na sister “waliwa “wakifanya “mapenzi chini yamti “kumbe juu ” yaule mtii palikua “na mvuta bangi “walipomaliza “sister akauliza ulitumia kinga “PADR hapana ” sistel sasa itakuaje nikipata mimba “PADRI akajibu “yote tumuachie aliejuu “yule mvuta bang akajua niyeye akajibu kwasaut pumbavu yani mapenzi mfanye nyie mimba mniachie mimi PADRI na sister inamana yote tuliyofanya apa umena aaaaaaaaa? hahahahaha STOR imetoka kwangu abu wamiki apa by
“ofa ofa
“kwanzia kesho “nakuendea selekar
“imeluhusu wavuta bangi wote mvutie bangi hazala vituo vya polic kambi zajexhi maeneo yaikulu kote ukwo bangi inukie kama pilau
hahahahaha kitakacho wakuta zawad milini 5
abu
Bado nacheka, hiyo ilikuwa nzuri sana! 🤣
niungen
🤣 Sikutarajia hiyo!
😆 Ninaihifadhi kwa baadaye!