MUME: “Unajua mi unanishangaza sana, kila siku nakusikia mara useme TV yangu, gari yangu, chumbani kwangu, mara hoo watoto wangu. Sisi ni mke na mume, kila kitu ni chetu. Jirekebishe bwana”.๐ด๐๐๐
MKE: Yuko kimya anaendelea na shughuli zake za kupekua kabatini kama hasikii, na hakumjibu kitu mumewe.๐ต๐ท
MUME: Akamuuliza kwa hamaki,”Sasa hapo unatafuta nini?”.๐ด๐ก
MKE: “Sidiria yetu!!”๐๐
MUME: (kamfungia kabatini alafu kamwambia. “nipo chumbani , “)๐ด๐ท๐ท
๐๐๐๐๐๐
๐๐๐๐๐๐
References:
Google ScholarResearchGate
Semantic Scholar
AckySHINE
๐คฃ Hii kichekesho ni nzuri sana!
Ucheshi wenu ni wa hali ya juu! ๐๐คฃ
Hizi jokes zinabamba sana! ๐๐
Nimecheka hadi nimesahau shida zangu! ๐คฃ๐
๐ Ilibidi nishiriki hii na kila mtu!