Foleni ndeeeeefu jamaa yupo kwenye daladala anaenda kazini kaona heri amuandikie boss wake msg kumtaarifu kuwa atachelewa ile anatakubofya SEND kibaka akaipitia simu. Jamaa kaishia kupga kelele “bonyeza send, bonyeza send wewe” abiria wote hawana mbavu
References:
Google ScholarResearchGate
Semantic Scholar
AckySHINE
Kweli mna ucheshi wa kipekee! 😂🤣
😁 Imeongezwa kwenye vipendwa!
😁 Hii ni dhahabu!
Hii imenipa furaha ya siku! 😆👌
Hii ni aina ya kichekesho usichosahau! 😂