Kisa kilichombadilisha mume tabia
Mume alirejea nyumbani na kukuta ujumbe juu ya meza umeandikwa “NIMEONDOKA” ilikuwa jioni, alienda jikoni na kukuta kukavu, aliwaita watoto na kuwauliza wakasema walimuona Mama akiondoka na begi lakini hakuwaambia anaenda wapi
Read More Β»