Kila kitu ni mali ya Mungu isipokua hiki

Kila kitu ni mali ya Mungu.

Kuwa na Mungu ni kuwa na kila kitu.

Hata mimi mwenyewe ni mali ya Mungu.

Kitu kimoja tu nina hakika nacho kwamba ni mali yangu binafsi nacho ni dhambi zanguπŸ˜›.

Ee Mungu naomba niziungame niweze kubaki mali yako bila kuwa na kitu binafsi.

Melkisedeck Leon Shine

Editor: Melkisedeck Leon Shine, Enjoyed? Drop your Comment Below. OR Chat Live here. Download My Books in PDF Format here. More: Legal Guidelines | About Me | Contact Me | LinkedIn | TikTok | WhatsApp

Read and Write Comments
Subscribe
Notify of
guest

0 Comments
Inline Feedbacks
View all comments