MASSAWE alienda na marafiki zake bar kunywa, baada ya kumaliza kutumia akaletewa bili kama ifuatavyo:
Manka 35,000
Marieta 20,000
Kekuu 30,000
Kitime 15,000
Kinabo 10,000
TOTAL 110,000/=
MASSAWE akaicheki akasema “Wote nitawalipia lakini huyo “TOTAL” Yesuu simlipii.
Kwansa anamiliki sheli kibao sa mafuta hapa bongo. Shensi taip ! Na amekunywa nyingi kuliko wote alipe mwenyewe…
References:
Google ScholarResearchGate
Semantic Scholar
AckySHINE
😄 Kichekesho gani!
Nimecheka hadi nimesahau shida zangu! 🤣😆
😅 Bado ninacheka!
😆 Ninakufa hapa!
Ucheshi wenu ni wa hali ya juu sana! 👏🤣