1.Mwenye mpira Lazima acheze ata kama hajui mpira
2.Dogo mnene Lazima awe golikipa
3.Mwenye mpira ataamua nan acheze na nan asicheze
4.kama haujashiriki kufuma mpira unaweza ucpate namba
5.Ukichaguliwa mwishon ujue uwezo wako ni mdogo kuliko wote
6.Mwenye mpira akikaclika mpira umeisha
7.Inaruhusiwa kubadili golikipa kama ikitokea penat na baada ya apo ataendelea kudaka yule yule
8.Mechi itaisha pale giza linapoingia
9.wale ambao wamekosa namba kazi yao ni kufata mpira ukitoka
10.yule mtaalam wa soka {KM MIMI } huwa hakoc namba ata cku moja!
Ukiikumbuka lazima utabasam!
References:
Google ScholarResearchGate
Semantic Scholar
AckySHINE
Kweli mna kipaji cha ucheshi! ๐๐
Hii imenifurahisha hadi nacheka kwa sauti! ๐คฃ๐
๐ Hii ni ubunifu wa hali ya juu!
Kila siku napenda jokes zenu! ๐๐
Kama kawaida! Bado nacheka! ๐