Sitasahau mwaka ule ambapo nilipeleka barua ya maombi yangu ya kazi kwenye kampuni moja maarufu. Wakati nasubiri majibu siku moja nikaenda kwa mama ntilie kununua maandazi akanifungia vizuri, kufika nyumbani hamu yote ya maandazi iliniishia pale nilipogundua karatasi iliyofungiwa maandazi ni barua yangu ya kuombea kazi😂😂
References:
Google ScholarResearchGate
Semantic Scholar
AckySHINE
😁 Hii imenifanya siku yangu iwe bora!
😆 Ninacheka sana sasa hivi!
😂 Sijacheka hivi kwa muda mrefu sana!
😅😂👌😊
Nimecheka hadi nimemiss kicheko! 😊😂