Ni hizi
1. Mvuta sigara hazeeki
2. Mvuta sigara haumwi na mbwa
3. Mvuta sigara nyumbani kwake haingii mwizi
UFAFANUZI
1. Hazeeki kwa sababu hufa mapema kwa kifua kikuu
2. Haumwi na mbwa kwa vile kifua na mapafu yanapooza na hulazimika kutembea na bakora
3. Nyumbani kwake haingii mwizi kwa kuwa inafika wakati ambapo halali:
atakohoa usiku kucha hivyo mwizi anajua yupo macho
kumbe kikohozi tu!
References:
Google ScholarResearchGate
Semantic Scholar
AckySHINE
🤣 Hii imenigonga vizuri!
Siwezi kusubiri kuieleza kwenye sherehe yangu inayofuata! 🎉
Hii ni kali kabisa! Siwezi kushiba! 😂
😂👌😆😊
Hii imenifurahisha hadi nacheka kwa sauti! 🤣😂