Mtoto ni wa baba au wa mama?
Mume alimpa mkewe talaka wakaenda mahakamani ili hakimu aamue nani akae na mtoto.
MME: Akasimama akauliza hivi: Mheshimiwa hakimu hivi nikichukua ATM card nikaingiza kwenye mashine ikatoa pesa, sasa pesa zitakuwa ni za ATM au zakwangu?
MKE: Akasimama na kusema: Mheshimiwa hakimu hivi ukimwaga mbegu ktk shamba la mtu mti ukiota utakuwa wa kwako au wa mwenye shamba?.
Hebu tumsaidie hakimu aamue kesi hii…
References:
Google ScholarResearchGate
Semantic Scholar
AckySHINE
Ucheshi wenu unanifurahisha kila siku! 😆😂
Ucheshi wenu ni wa hali ya juu sana! 👏🤣
😄 Kichekesho gani!
Haha, mbavu zangu zinauma kwa kucheka sana! 🤣
😄 Kali sana!