Mke mmoja alimpa mme wake redio aende nayo chooni ili asiboreke kwa vile huwa anakaa muda mrefu.
Basi alvyotoka akamuuliza,”ehe mme wangu ulienjoy?” Mme,”ah wajinga hawa!
Wameniwekea wimbo wa taifa,nimejisaidia huku nimesimama
References:
Google ScholarResearchGate
Semantic Scholar
AckySHINE
๐ Umeimaliza kabisa!
๐๐๐
Lazima nikumbuke hii kwa baadaye! ๐
๐คฃ๐ฅ๐
Nimecheka hadi mbavu zinauma ๐๐