Dogo: mama hivi malaika si wanapaa?
Mama: ndiyo wanapaa, kwanini umeniuliza hivyo?
Dogo: nimesikia baba jana anamuita dada (housegir) malaika wangu, kwa hiyo nae atapaa?
Mama: ndiyo atapaa kuelekea kijijini kwao kesho, pumbavu zake.
References:
Google ScholarResearchGate
Semantic Scholar
AckySHINE
Bado nacheka, hiyo ilikuwa nzuri sana! 🤣
😂 Nitaiiba hii bila shaka!
Nimefurahia hii sana! 😆😊
Hii joke ni ya kufurahisha! 🤣🤣
Kweli mna ucheshi wa kipekee sana! 😄😂