Dogo: mama hivi malaika si wanapaa?
Mama: ndiyo wanapaa, kwanini umeniuliza hivyo?
Dogo: nimesikia baba jana anamuita dada (housegir) malaika wangu, kwa hiyo nae atapaa?
Mama: ndiyo atapaa kuelekea kijijini kwao kesho, pumbavu zake.
References:
Google ScholarResearchGate
Semantic Scholar
AckySHINE
Bado nacheka, hiyo ilikuwa nzuri sana! ๐คฃ
๐ Nitaiiba hii bila shaka!
Nimefurahia hii sana! ๐๐
Hii joke ni ya kufurahisha! ๐คฃ๐คฃ
Kweli mna ucheshi wa kipekee sana! ๐๐