Askari wametumwa nyumba iliyokuwa kuna ugomvi wakafika wakatakiwa kuripoti kwa njia ya simu juu ya walichokikuta
ASKARI: Mkuu tumekuta mama mwenye nyumba kampiga mumewe chuma cha kichwa na kumuumiza vibaya sanaa
AFANDE: Kha! kisa mkasa mpk akafanya hivyo
ASKARI: Mama mwenye nyumba alikua anapiga deki mumewe akaingia ndani viatu kabla sakafu haijakauka
AFANDE: Sasa mmesha mkamata huyo mwanamke
ASKARI: Bado mkuu
AFANDE: Kha! sasa mnangoja nini
ASKARI: Si tunangoja sakafu ikauke
References:
Google ScholarResearchGate
Semantic Scholar
AckySHINE
Nimecheka kwa sauti! ๐คฃ๐คฃ
Hii ni kali kabisa! Siwezi kushiba! ๐
Napenda jinsi mnavyofikiria! ๐ค๐
๐ Nilihitaji kicheko hicho!
Siwezi kuamini jinsi hii ni kichekesho! ๐