MUME: Mke wangu naomba nikubusu
MKE: Sitaki
MUME: Ntakununulia pete ya gold
MKE: Staki
MUME: Ntakununulia gari
MKE: Sitakiโฆ.mtoto wao aliyekuwa kalala alisikia haya maneno ya mwisho
MTOTO: Baba basi nibusu mimi uninunulie baiskeli
BABA: Pumbafu lala huko mjinga mkubwa
References:
Google ScholarResearchGate
Semantic Scholar
AckySHINE
๐๐๐๐
๐ Naihifadhi hii!
๐ Nilihitaji hii!
Haha! Sijacheka hivi kwa muda mrefu! ๐คฃ
Hii ni joke ya kipekee! ๐คฃ๐