Katoliki: Ishara ya Msalaba

Ishara ya Msalaba
Ishara ya msalaba ni nini?
Ishara ya Msalaba ni tendo la mtu kugusa panda la uso, kifua na mabega kwa kutumia mkono wa kulia na kutamka β€œKwa jina la Baba, na la Mwana na la Roho Mtakatifu, Amina”