Posted: December 20, 2015
Unaalikwa kutubu na kumrudia Mungu kwa Moyo Wako wote na kwa nia dhabiti. Mungu atakusamehe dhambi zako na kukufanya kuwa mpya. …Ingekuwa heri leo usikie sauti yake! Usifanye moyo wako kuwa mgumu.
Posted: September 25, 2022
Mwenendo wenu na uongozwe na Roho, nanyi hamtafuata tena tamaa za kidunia. Maana tamaa za kidunia hupingana na matakwa ya Roho; na matakwa ya Roho hupingana na Tamaa za kidunia. Mambo hayo mawili hayaafikiani; kwa sababu hiyo hamuwezi kufanya yale mnayotaka nyinyi wenyewe.