Leo nimepulizia Air Fresh yenye Harufu ya Pilau nyumbani kwangu sasa watoto wa Jirani wamehamia Mlangoni kwangu ndio wanacheza hapo. Kila nikitoka wananisalimia. Mama yao ndio kanimaliza kabisa nimetoka akaniambia
“Kumbe wewe ni Mpishi mzuri, Hongera”
Imebidi nisirudi nyumbani maana wale watoto wanaweza kuingia ndani kabisa na pilau hakuna.
#UTOTO RAHA ๐
๐๐๐๐๐๐ป๐๐ป๐๐ป
References:
Google ScholarResearchGate
Semantic Scholar
AckySHINE
Hii imenichekesha sana! ๐๐
Hii ni aina ya kichekesho usichosahau! ๐
๐คฃ Hii kichekesho ni nzuri sana!
๐คฃ Ninashiriki hii sasa hivi!
๐ Bado ninacheka!