Jamaa kaenda kanisani akakaa karibu na mrembo.
Wakati mahubiri yakiendlea jamaa akaanza kuingiza vocal:
Jamaa: dada mi nakupenda saana
Dem: Kaka naomba umsikilize mchungaji
Jamaa: nipe nafasi uwe msimamizi wa serikali ya moyo wanguโฆ
Dem: niacheโฆ
Jamaa: kweli nakupenda mpnz
Dem: (kwa sauti kubwa) nmesema NIACHEEEE!!
Watu wote kanisani wakageukaโฆ Jamaa kaona noma na ili atulize msala
Jamaa: sikuachi hadi ukiri YESU kuwa Bwana na mwokozi wa Maisha yako.
References:
Google ScholarResearchGate
Semantic Scholar
AckySHINE
๐คฃ Ninaituma sasa hivi!
Hii imenifurahisha sana! ๐คฃ๐
๐คฃ Hii imenifanya siku yangu iwe bora kabisa!
Hii kichekesho itaingia moja kwa moja kwenye vipendwa vyangu! ๐
Ucheshi wenu unanifurahisha! ๐๐