Nmeokoa maisha ya mtu asubuhi ya leo huwezi amini.Nmekutana na ombaomba nikamuuliza atajisikiaje nikimpa sh.30,000/-
Akasema ATAKUFA kwa furaha.Nikaondoka bila kumpa ili ASIFE.๐๐๐๐
References:
Google ScholarResearchGate
Semantic Scholar
AckySHINE
๐ Nalia kwa kweli hapa!
Nilikuwa na siku mbaya hadi niliposoma hii! ๐
๐ Ninaihifadhi hii!
๐๐
๐ Hii kichekesho imenifurahisha siku nzima!