SMS nzuri ya kumsifia mpenzi wako
Read and Write CommentsUzuri wako hung’ara kuendana na matendo yako,
Ushupavu, upole, ujasiri na uchambuzi wa kweli,
kwa yote yajayo mbeleni mwako.
Read and Write CommentsUzuri wako hung’ara kuendana na matendo yako,
Ushupavu, upole, ujasiri na uchambuzi wa kweli,
kwa yote yajayo mbeleni mwako.
Niliumbwa kwa ajili yako, mbele yako nitakushika mkono, nikuonyesha sayari yangu, pendo langu la undani, na NITAKUHESHIMU milele mpenzi wangu.
Unaweza kutuma Ujumbe huu kwa Umpendaye hapa
Read and Write CommentsUkweli lazima nikwambiye kwa kuwa sina kimbilio nakupenda kijana mwenzio sijui kwanini hutaki kukisikia changu kilio, namwomba Mungu kila kukicha usikiye changu kilio, nakupenda na kama kukueleza hili nakukosea nisamehe kwani si langu kusudio,luv u mwaah.
Happy birthday mpenzi, nakuombea kwa mwenyezi
akupe maisha marefu na kukuepusha na maradhi,
pongezi kwa wako wazazi kwa kukuzaa mpenzi,
nakupenda la azizi.
Usikimbie nyuki ukakosa asali, utamu wa samaki ni kula na wali, usizidishe siki akawa mkali. Ni mimi niliye na dhiki nakujulia tu hali.
Unaweza kutuma Ujumbe huu kwa Umpendaye hapa
Read and Write CommentsMapenzi ni kitu kisichotabirika, ndio maana kila mwenye KUPENDA au KUPENDWA hana uhakika na PENZI lake kwa yule AMPENDAE, Muda wote huhisi anasalitiwa. PENZI Ni kama JENGO lililokosa NGUZO muda wowote unahisi litadondoka… Usinielewe vibaya sikukatazi KUPENDA au KUPENDWA, ila tazama wapi UMEPENDA au UMEPENDWA.kilalakher kwa umpendae
Raha ya ndege kichaka si tunduni asilani,
Raha ya Ndege ujumbe nakupa mpelekee
mwandani iwapo hukumkuta msubiri mlangoni,
Usije ukaondoka hakuchinji asilani,
Mwambie namkumbuka hatoki mwangu moyoni.
ucku mwema
Kukusahau wewe ni ngumu lakini kunisahau mimi ni juu yako.
Usinisahau kamwe, unaweza kuisahau meseji hii, lakini si
mtumaji.
Sio Maua yote Huonesha Upendo, “Ni Waridi pekee” sio Miti yote Hustawi Jangwani “ni Mtende pekee” sio watu wote wanaokukumbuka muda huu ni mm pekee. Uhali gani?
Unaweza kutuma Ujumbe huu kwa Umpendaye hapa
Read and Write CommentsKama busu ni maji ningekupatia bahari, kukumbatia ni
majani, ningekupa msitu. Mapenzi ni maisha ningekupa yangu
bure.
Nakupenda mpenzi wangu, sifikirii kitu chochote zaidi yako
na kwa kuwa nakupenda sipendi kuwa na urafiki hata na
mwingine kwani atakuwa anabana nafasi niliyokuwekea wewe.
Noamba unipende nami nakupenda kila sikunde inayopita
maishani mwangu. Mwaaaaaaaaa
, – .(. – .
‘. .’
‘ . . . ‘ Napenda tunda hili likupoze makali uliyo nayo moyoni, Nimeliosha kwa maji safi na salama kwa ajili yako lipo tayari kuliwa.
“APPLE” Ni tunda lenye ishara ya UPENDO, AMANI & FURAHA. napenda liwe zawadi kwako siku hii ya leo.
Licha ya upole ulionao! Pia upendo wako ndio kishawishi cha kunifanya nikukumbuke siku zote. Jiulize! nina namba za watu wangapi ktk cmu yangu,na bado sijatamani kujua hali zao ila wewe! kwa kuwa, nakuthamini nakukujali, ndiyo maana nakutakia, SIKU NJEMA
mpnz wangu ninavyo jua mm huwezi kutupa mawe kwenye mti
usiokuwa na matunda mazuri maana hivyo basi tambua ww ni
mrembo xanandani ya moyo wangu usiniache pekeyangu kwani
na kupenda xana tabua hilo mpnz wangu
Penzi lako ndiyo pumzi yangu nawezaje kukuacha laazizi,
ina maana nife??? Siwezi kukuacha nakupenda. Nitakupenda
mpaka mwisho wa uhai wangu.
Nakupenda sana mwandani wangu ndiyo maana moyo wangu
hupatwa kidonda ninaokuona na mwingine hasa anapokuwa hana
sifa, nahisi kama anakutumia wewe kama mdori wake wa
kumfurahisha. Uwe makini ua la moyo wangu.
Napenda ufahamu kuwa wewe ndiye nikupendae tu
Uzuri wako sio sababu ya mimi kukupenda
Ila nakupenda kwa matendo yako na jinsi ulivyoumbika.
Unaweza kutuma Ujumbe huu kwa Umpendaye hapa
Read and Write CommentsWewe ni taa kwangu imulikayo gizani,
nakupenda sana mpenzi wangu wa moyo,
utakuwa wangu siku dear!
Kosa nililofanya ni kwa bahati mbaya,
naomba unisamehe na ninaahidi
kutorudia tena katika penzi letu!
Usimpende mtu tuu kwa sababu uko mpweke
Au kwa sababu ana pesa, kwa sababu upendo
Sio pesa wala siluhisho la matakwa yako.
Asali wa moyo wangu, fahamu kuwa unaweza kuamini kwamba
mwanga wa nyota unaweza kuunguza nyumba, jua linaweza
kusimama, lakini usiwaze hata siku moja kuwa naweza
kukuacha.
Recent Comments