Ufufuko wa wafu maana yake nini? Ufufuko wa wafu maana yake mwisho wa dunia watu wote watafufuka na miili yao na kwenda nayo katika furaha ya milele au moto wa milele. (Ayu 19:25-26, Mt 22:30-32, Yh 28-29) Baada ya kifo cha mtu nini hutokea? Baada ya kifo roho yake inafika…
Tag: Katoliki: Marehemu
Maswali na Majibu kuhusu Ufufuko wa wafu
Ufufuko wa wafu maana yake nini?
Ufufuko wa wafu maana yake mwisho wa dunia watu wote watafufuka na miili yao na kwenda nayo katika furaha ya milele au moto wa milele.
Maswali na majibu kuhusu Mpako wa wagonjwa au Mpako wa Mwisho
Yesu aliweka Kitubio na Mpako wa Wagonjwa kwa sababu gani? Yesu aliweka Kitubio na Mpako wa Wagonjwa kwa sababu alijua udhaifu wa binadamu hauishi mara anapopokea uzima wa Mungu kwa sakramenti tatu za kuingizwa katika Ukristo. Hivyo alipanga kusaidia mpaka mwisho wa dunia waamini wake watakaopatwa na dhambi na ugonjwa,…
Mambo manne ya mwisho katika maisha
Mambo manne ambayo ni ya mwisho katika maisha ni; Kifo Hukumu Mbinguni Motoni Mambo haya yote yanaweza kutokea wakati wowote bila kujua wala kutarajia Kifo Kifo ni kitu ambacho kinaweza kumpata mtu yeyote wa umri wowote awe mtoto kijana au mzee na kwa wakati wowote.Maranyingi watu hawapendi kuongelea kuhusu kifo…