Neema na Rehema za Mungu

Unayopaswa kujua Kuhusu Kipindi cha Majilio

Majilio (pia: Adventi ) ni kipindi cha liturujia yamadhehebu mbalimbali ya Ukristo (kama vileKanisa Katoliki, ya Waorthodoksi , Waanglikanana Walutheri ) kinatangulia sherehe ya Noeli nakuanza mwaka wa liturujia. Kinaweza kudumukati ya siku 22 na 40. Jina lake kwa Kilatini ni adventus maana yakeujio (wa Yesu Kristo ), lakini jina…