Je, watumiaji wa dawa za kulevya wanaweza kupata watoto?
Ndiyo, hii i ii inawezekana. Lakini ujue kwamba watu wanaotumia dawa za kulevya huwa dhaifu kisaikolojia na kiumbile kwa maana hiyo wanaweza wasiwe katika hali nzuri ya kupata watoto. Hawajali afya zao. Wanakosa hisia na hutumia muda mwingi kushiriki katika matumizi ya dawa za kulevya; pia hutumia fedha nyingi. Haya si mazingira mazuri ya kulea watoto.
Endelea na Hizi:
- Nani wa kulaumiwa kuhusu dawa za kulevya Tanzania, Serikali au wasambazaji na watumiaji? Hakuna mtu wa kulaumiwa, lakini i i inabidi kila mtu awajibike. Kila mtu i inambidi afanye lolote lile lililo katika...
- Je, kama wazazi watawapa dawa za kulevya watoto wao watashitakiwa kisheria? Ndiyo, watashtakiwa! Wakati mwingine wazazi huwatumawatoto wao kuchukua au kununua pombe au sigara nahata dawa za kulevya. Utumiaji na usambazaji...
- Sababu za matumizi ya dawa za kulevya Zipo sababu nyingi zinazowafanya watu kutumia dawa za kulevya, nazo ni kama zifuatazo:Watu wengi hutumia dawa wakitumaini kusahau matatizo yanayowakabili,...
- Je, unaweza kufa ukitumia dawa za kulevya? Ndiyo, unaweza. Kifo kinaweza kuwa cha ghafla aukutokana na madhara ya muda mrefu katika viungo vyandani ya mwili kutokana na...
- Je, ni kweli matumizi ya dawa za kulevya ni mojawapo ya sababu zinazochangia maambukizi ya virusi vya UKIMWI (VVU) Dawa za kulevya zenyewe hazisababishi UKIMWI na magonjwa ya zinaa. Lakini utumiaji wa dawa za kulevya hurahisisha kupata na kuenea...
- Je, mtu anawezaje kuacha kutumia dawa za kulevya na itamchukua muda gani kurudia hali yake ya kawaida? Kitu muhimu ni kwamba, kweli uwe umedhamiria kuacha. Hatua ya kwanza ni kujiuliza kwa nini unatumia dawa za kulevya. Pale...
- Kwa nini watu wanaotumia dawa za kulevya mara nyingi hudanganya? Wengi wa waathirika wa dawa za kulevya hukataa matatizo yao. Hudanganya kwa sababu hawataki kukubali matatizo yao pia hutoa maelezo...
- Dawa gani za kulevya ni hatari zaidi? Kwa ujumla dawa zote za kulevya zinaweza kuwa ni za hatari. Kati ya dawa zilizohalalishwa kisheria nikotini, ambayo i ipo...
- Madhara ya dawa za kulevya yanadumu kwa muda gani? Ni vigumu sana kujibu swali hili kwa sababu muda wa madhara hutegemea sababu mbalimbali kama vile aina za dawa za...
- Madhara ya dawa za kulevya kwa mwili na ubongo Moja kati ya vitu vinavyotisha kuhusu dawa za kulevya ni kwamba zinaathiri watu kwa njia mbalimbali na huwezi ukasema kwa...
- Je, kwa nini watu waanzao kutumia dawa za kulevya hupenda kuendelea kuzitumia? Hii ndio hasa sababu kwa nini dawa za kulevya ni hatari! Mara unapozizoea unakuwa na ugumu wa kuendesha maisha yako...
- Je, kuna wataalamu Tanzania wanaowasaidia watu wenye matatizo ya dawa za kulevya? Ndiyo. Kuna mashirika yasiyo ya kiserikali (AZISE)yanayotoa ushauri nasaha kwa watumiaji wa dawa zakulevya. Katika AZISE hizi kuna wataalamu wenyekusikiliza...
- Kuna aina ngapi za dawa za kulevya? Tunatofautisha dawa za kulevya katika makundi mawili. Zile zinazokubalika na zile zisizokubalika kisheria. Tanzania, dawa za kulevya zinazokubalika kisheria ni...
- Je, watu wanaoishi na hali ya ualbino wanaweza kuzaa watoto bila matatizo? Ulemavu wa watu wanaoishi na ualbino hauingiliani na uwezowa kuweza kuzaa. Tuelewe kwamba ulemavu huu uko tu kwenyengozi na siyo...
- Ni hatua zipi zinazochukuliwa na Serikali kuhusu matumizi na biashara haramu ya dawa za kulevya? Serikali i i inatambua kukua kwa tatizo la dawa za kulevya nchini, kwani dawa za kulevya nyingi zinazotumika zinapitishwa na...
- Je, kuna madhara yoyote pale utakapojaribu kutumia dawa za kulevya mara moja tu au utakapotumia kwa kiasi kidogo sana? Kutumia dawa za kulevya kwa kiasi kidogo kunaweza kusilete madhara i ila mpaka tu pale utakapoyazoea. Mara nyingi watu huanza...
- Je, watu huchanganyikiwa baada ya matumizi ya dawa za kulevya? Kuna i imani potofu kwamba wote wenye matatizo ya akili wamekuwa hivyo kutokana na matumizi ya dawa za kulevya. Hii...
- Je, nini kitatokea iwapo mwanamke atatumia dawa za kulevya wakati wa ujauzito? Kama mama mjamzito atatumia dawa za kulevya basi humuathiri mtoto moja kwa moja. Mtoto aliye tumboni hulishwa kupitia damu ya...
- Kwa nini watu hutaka kufanya mapenzi baada ya kutumia dawa za kulevya? Dawa za kulevya huathiri ubongo jinsi unavyofanya kazi. Hubadili hisia na husaidia kuondoa aibu na vizuizi vingine. Mtu hujisikia jasiri...
- Je, sigara ni mojawapo ya dawa za kulevya? Sigara siyo dawa za kulevya, kwa maana ya kwamba ni haramu,lakini hata hivyo, sigara ina nikotini ambayo hufanya iwe dawa...