Ndiyo. Kuna mashirika yasiyo ya kiserikali (AZISE)
yanayotoa ushauri nasaha kwa watumiaji wa dawa za
kulevya. Katika AZISE hizi kuna wataalamu wenye
kusikiliza na kujaribu kutafuta ufumbuzi wa matatizo yako. Kama mtu anategemea dawa za kulevya au anahitaji msaada wa kitaalamu, basi kuna vituo vya kuwasaidia kwenye hospitali za serikali,
References:
Google ScholarResearchGate
Semantic Scholar
AckySHINE
Recent Comments