Je, sigara ni mojawapo ya dawa za kulevya?
Sigara siyo dawa za kulevya, kwa maana ya kwamba ni haramu,
lakini hata hivyo, sigara ina nikotini ambayo hufanya iwe dawa ya kulevya kwa sababu nikotini iliyomo kwenye sigara
husababisha mtu kuwa mtu tegemezi.
Endelea na Hizi:
- Je, ni kweli matumizi ya dawa za kulevya ni mojawapo ya sababu zinazochangia maambukizi ya virusi vya UKIMWI (VVU) Dawa za kulevya zenyewe hazisababishi UKIMWI na magonjwa ya zinaa. Lakini utumiaji wa dawa za kulevya hurahisisha kupata na kuenea...
- Dawa za kulevya ni nini? Tunaposema dawa za kulevya ina maana ni matumizi mabaya ya dawa na hasa pale yatumikapo kinyume cha maelekezo ya tabibu...
- Sababu za matumizi ya dawa za kulevya Zipo sababu nyingi zinazowafanya watu kutumia dawa za kulevya, nazo ni kama zifuatazo:Watu wengi hutumia dawa wakitumaini kusahau matatizo yanayowakabili,...
- Kumbadilisha mtu aliyeathirika na dawa za kulevya Endapo rafiki au jamaa anaomba msaada wa kuacha kutumia dawa za kulevya unaweza kumsaidia kwa kumpatia nasaha. Jitahidi kumpatia taarifa...
- Je, unaweza kufa ukitumia dawa za kulevya? Ndiyo, unaweza. Kifo kinaweza kuwa cha ghafla aukutokana na madhara ya muda mrefu katika viungo vyandani ya mwili kutokana na...
- Madhara ya dawa za kulevya kwa mwili na ubongo Moja kati ya vitu vinavyotisha kuhusu dawa za kulevya ni kwamba zinaathiri watu kwa njia mbalimbali na huwezi ukasema kwa...
- Kuna aina ngapi za dawa za kulevya? Tunatofautisha dawa za kulevya katika makundi mawili. Zile zinazokubalika na zile zisizokubalika kisheria. Tanzania, dawa za kulevya zinazokubalika kisheria ni...
- Dawa gani za kulevya ni hatari zaidi? Kwa ujumla dawa zote za kulevya zinaweza kuwa ni za hatari. Kati ya dawa zilizohalalishwa kisheria nikotini, ambayo i ipo...
- Je, watu huchanganyikiwa baada ya matumizi ya dawa za kulevya? Kuna i imani potofu kwamba wote wenye matatizo ya akili wamekuwa hivyo kutokana na matumizi ya dawa za kulevya. Hii...
- Madhara ya dawa za kulevya yanadumu kwa muda gani? Ni vigumu sana kujibu swali hili kwa sababu muda wa madhara hutegemea sababu mbalimbali kama vile aina za dawa za...
- Je, watumiaji wa dawa za kulevya wanaweza kupata watoto? Ndiyo, hii i ii inawezekana. Lakini ujue kwamba watu wanaotumia dawa za kulevya huwa dhaifu kisaikolojia na kiumbile kwa maana...
- Kwa nini watu wanaotumia dawa za kulevya hukonda? Dawa za kulevya huharibu ufanyaji kaza wa kawaida wa mfumo wa mwili hasa tumbo na utumbo wa watumiajihushindwa kufyonza virutubisho...
- Kwa nini watu wanaotumia dawa za kulevya mara nyingi hudanganya? Wengi wa waathirika wa dawa za kulevya hukataa matatizo yao. Hudanganya kwa sababu hawataki kukubali matatizo yao pia hutoa maelezo...
- Je, kama wazazi watawapa dawa za kulevya watoto wao watashitakiwa kisheria? Ndiyo, watashtakiwa! Wakati mwingine wazazi huwatumawatoto wao kuchukua au kununua pombe au sigara nahata dawa za kulevya. Utumiaji na usambazaji...
- Je, nini kitatokea iwapo mwanamke atatumia dawa za kulevya wakati wa ujauzito? Kama mama mjamzito atatumia dawa za kulevya basi humuathiri mtoto moja kwa moja. Mtoto aliye tumboni hulishwa kupitia damu ya...
- Je, kuna wataalamu Tanzania wanaowasaidia watu wenye matatizo ya dawa za kulevya? Ndiyo. Kuna mashirika yasiyo ya kiserikali (AZISE)yanayotoa ushauri nasaha kwa watumiaji wa dawa zakulevya. Katika AZISE hizi kuna wataalamu wenyekusikiliza...
- Kwa nini watu hutaka kufanya mapenzi baada ya kutumia dawa za kulevya? Dawa za kulevya huathiri ubongo jinsi unavyofanya kazi. Hubadili hisia na husaidia kuondoa aibu na vizuizi vingine. Mtu hujisikia jasiri...
- Je, kwa nini watu waanzao kutumia dawa za kulevya hupenda kuendelea kuzitumia? Hii ndio hasa sababu kwa nini dawa za kulevya ni hatari! Mara unapozizoea unakuwa na ugumu wa kuendesha maisha yako...
- Nani wa kulaumiwa kuhusu dawa za kulevya Tanzania, Serikali au wasambazaji na watumiaji? Hakuna mtu wa kulaumiwa, lakini i i inabidi kila mtu awajibike. Kila mtu i inambidi afanye lolote lile lililo katika...
- Nitafanya nini kuzuia dawa za kulevya na jinsi gani nitaepukana na marafiki wabaya? Wakati mwingine ni vigumu kusema hapana ukiwa namaana ya hapana. Jaribu kuwa mpole na usiwe mgomvi.Jaribu kueleza sababu zako kwa...