Tafakari na ujumbe huuuu!!!…
DAKTARI :- Unajisikiaje?
CHIZI:-Kila siku naota nyani wanacheza mpira wa miguu.
DAKTARI :- Nitakupa dawa leo hautaota tena.
CHIZI:-hiyo dawa nipe kesho sababu leo wanacheza fainali. na nilibet
😂😂😂😂
References:
Google ScholarResearchGate
Semantic Scholar
AckySHINE
🤣 Nalia kwa kicheko kweli!
Nimeipenda hii joke! 😄😂
Kweli ni jokes za ukweli! 👏😆
Hii imenikuna hadi nina furaha sana! 😊😂
😄 Hii ni ubunifu wa hali ya juu!