Bosi wangu karudi safari yake kutoka serengeti..! Si akanitumia picha, lakini ilikuwa network yenyewe tabu.. kwahio picha haikufunguka na kwa vile niliona itachelewa kufunguka na ataona sikumjibu basi nami..
Nikampelekea msg nikamuandikia umependeza saana bosi mashaallah…!!
sasa baada tu ya kumfika msg.. na huku picha ikafunguka kumbe picha ya Sokwe..!!
Basi Kaniambia kesho niende ofsini kwake kuna barua yangu..
Nahisi hyo barua ina pesa, hapa cjalala, nmekosa usingizi kabisa,nawaza ninunulie nn hyo pesa.Na kesho asubuhi sa 12 asubuhi atanikuta ofisini kwake naisubiri barua, sipendagi ujinga mimi.
References:
Google ScholarResearchGate
Semantic Scholar
AckySHINE
Nimecheka hadi nimesahau shida zangu! 😂😅
Nimeipenda hii joke! 😄😂
Napenda vile mnaweka jokes kila siku! 😆👏
Napenda jinsi mnavyofikiria! 🤔😆
Hii joke imenikumbusha enzi zile! 😊😂