Jamaa kaingia Bar;
Jamaa: Muhudumu, nipe kinywaji na mpe kila mtu humu ndani kinywaji, maana wakati napata kinywaji lazima kila mtu apate kinywaji. Haraka sana muhudumu akagawa vinywaji,
Jamaa: Muhudumu nipe supu na kila mtu humu ndani mpe supu maana ninapokunywa supu kila mtu lazima anywe supu. Watu wakapewa supu tena safari hii wakapiga makofi.
Jamaa: Muhudumu nipe bili, na kila mtu humu ndani mpe bili maana wakati nalipa bili yangu kila mtu lazima alipe yake. Zogo lilianzia hapoβ¦β¦.
References:
Google ScholarResearchGate
Semantic Scholar
AckySHINE
Kweli mna kipaji cha ucheshi! ππ
π Ninakufa hapa!
Hizi jokes ni za kipekee sana! ππ
Kweli mna ucheshi wa kipekee! ππ€£
π Nimeipenda kabisa hii!