Machizi wamekaa sehemu mara ghafla ikapita ndege angani.
Chizi wa kwanza akasema:ndege ile itakua imembeba raisi.
Chizi mwenzie akajibu:hapana imebeba wazungu kama ingembeba raisi tungeona pikipiki zimetangulia mbele…
da!balaaa
References:
Google ScholarResearchGate
Semantic Scholar
AckySHINE
Huyu mtu ni mcheshi sana! 😂😂
😆 Hii imenigonga kweli!
😂👌😆😊
Ninashiriki hii na marafiki zangu mara moja! 😆
😂😂