Ni kijarida cha SMS nzuri za Kushauri
References:
Google ScholarResearchGate
Semantic Scholar
AckySHINE
Original price was: Sh2,400.Sh0Current price is: Sh0.
Je unataka kumshauri Mpenzi wako? Unataka kumpa maneno mazuri yatakayo mjenga mpenzi wako? Leo umerahisishiwa kupitia kitabu hiki cha SMS za Kushauri.
SMS hizi zinaweza kuimarisha mausiano yako. Kwa kutumia kitabu hiki utaweza kumshauri mpenzi wako na kumfanya aelewe mambo muhimu katika Mapenzi.
Kwa kutumia SMS hizi wengi wameweza kuwashauri wapenzi wao. Wasomaji wengine wamesema kupitia SMS hizi wameweza kwa namna moja au nyingine kuwabadilisha wapenzi wao.
Kitabu hiki kipo katika mfumo wa Soft copy [pdf] ambapo unaweza kusoma moja kwa moja kwenye simu yako.
Kwa Leo unaweza kupata kitabu hiki bure kabisa.
Bofya โClick Here to Downloadโ kuchukua. Utaingiza taarifa zako ili uweze kudownload na kuhifadhi/kutumiwa kwenye Email yako.
Ni kijarida cha SMS nzuri za Kushauri
Book
Asante๐
๐๐
Asante๐
๐