Je, uume una urefu kiasi gani? Ni kweli kwamba wanaume warefu wana uume mkubwa na wale wafupi wana uume mdogo?
Kwa kawaida urefu wa uume ambao haujasisimuka kwa wastani ni kati ya sentimeta 7 na 10, na uume uliosimama ni sentimeta 13 hadi 18. Si lazima kwamba maumbile ya mtu yawiane na viungo vya uzazi.
Na vile vile katika kujamii ana, jambo la vipimo vya uume si la msingi. Kilicho muhimu ni afya nzuri ya watu wote wawili na kupendana kwao wenye uhusiano. Urefu wa uume si muhimu, kwa sababu sehemu nyingi zinazomridhisha mwanamke haziko ndani ya uke. Kuridhika au kutoridhika wakati wa kujamii ana hakutegemei urefu wa uume!
Endelea na Hizi:
- Je, mvulana anaweza akafikia mshindo kwa njia ya kusugua uume na vidole na kuna madhara gani ukisugua uume na vidole? Ndiyo, mvulana anaweza akafikia mshindo kwa njia ya kusugua uume na vidole. Anaposuguliwa uume na vidole, msisimko wa mwili unaongezeka...
- Je, uke wa mwanamke unaweza kupanuka kiasi gani? Wakati wa kujifungua, uke wa mwanamke mzima hupanuka kuanzia kipenyo cha sentimeta kumi mpaka kumi na mbili i i ili...
- Je, wasichana wana viungo gani vya uzazi na kazi zake ni zipi? Viungo vya uzazi vya ndani vinaonekana katika michoro inayofuata: Ukiangalia mchoro huu hapo juu, ambao unaonyesha via vya uzazi vya...
- Je, ni kweli kwamba uvutaji wa bangi hupunguza mawazo? Bangi hupunguza mawazo kwa muda mfupi kwani huleta hisia za furaha na utulivu. Lakini hata hivyo matatizo hubakia palepale na...
- Je, ni kweli kwamba uvutaji wa bangi hukufanya uwe na nguvu? Si kweli kabisa! Baada ya kuvuta bangi mtu hujiona kama jasiri sana na mwenye nguvu. Lakini madhara ya bangi ni...
- Je, ni kweli kwamba kufanya ngono na bikira inaponyesha maambukizi? Hapana, huwezi kupona Virusi vya UKIMWI au UKIMWI kwa kufanya ngono na bikira. Hakuna tiba ya maambukizi ya Virusi vya...
- Je, ni kweli kwamba kuvuta bangi kunaongeza akili na uwezo wa kufikiri? Hapana, hii si kweli! Vijana wanaoamini kwamba wana uwezo wa kufikiri baada ya kuvuta bangi kwa sababu inawapa hisia ya...
- Ni katika umri gani vijana wana haki ya kujihusisha na mambo ya kujamiiana? Kujamiiana ni uamuzi wa mtu binafsi. Ni uamuzi wako na hakunamtu yeyote mwenye haki ya kukuamulia. Lakini unapoamuakujamiiana hakikisha kwamba...
- Je, ni kweli kwamba mtu anayekunywa pombe anaishi kwa muda mrefu kuliko yule ambaye hanywi kabisa? Si kweli. Mpaka sasa wanasayansi hawajathibitisha kwambamtu anayekunywa pombe kidogo ndiye anayeishi kwa mudamrefu. Kwa ujumla, watu wanaoishi katika hali...
- Je, ni kweli kwamba mwanamke akikaa muda mrefu akiwa bikira ni shida sana kuvunja kizinda akijamiiana kwa mara ya kwanza? Ile ngozi ndani ya uke i inabakia kuwa nyembamba na laini sana, hata mwanamke akiwa bikira katika umri mkubwa i...
- Ni katika umri gani vijana wana haki ya kutumia huduma za afya ya uzazi na njia za uzazi wa mpango? Hakuna kiwango cha umri kwa kutumia huduma za afya ya uzazina njia za uzazi wa mpango. Unatakiwa kuanza kutumia hudumaza...
- Watu wanaamini kuwa Albino wana joto katika mapenzi kuliko watu weusi, Je, hiyo ni kweli? Hii siyo kweli,tofautibaina ya Albinona mtu a s iekuwa na ualbinoi m e e l e z w ahapo mwanzoniambapo...
- Kwa nini uume unasimama mara nyingine wakati wa kuamka asubuhi? Ni kweli kwamba mara nyingi hali hii huwatokea wavulana na wanaume. Ndani ya uume kuna mishipa mingi ya damu na...
- Kwa nini mara nyingine uume hausimami? Ili mwanaume aweze kujamii ana, ni lazima uume usimame na kuweza kupenya ukeni. Kama mvulana anasisimka kimapenzi, damu nyingi inaenda...
- Je, kwa nini mwanamke akigongwa na uume kwenye uke yaani juu hutoa majimaji kupitia ukeni? Kugusana kwa kutumia viungo vya uzazi ni njia mojawapo ya kuamsha hisia ya kujamii ana. Kama mwanamke anatoa majimaji baada...
- Kwa nini mwanaume akiona mapaja ya mwanamke uume wake husimama? Mapaja na nyonga ni sehemu ya mwili i i iliyo karibu na viungo vya uzazi vya mwanamke. Kwa sababu ya...
- Je,mwanaume akitoa uume nje ya uke kabla ya kumwaga shahawa anaweza kuambukizwa yeye au mwanamke na Virusi vya UKIMWI na UKIMWI? Ndiyo, hata akitoa uume nje ya uke kabla ya kumwaga mbegu anaweza akaambukizwa Virusi vya UKIMWI na UKIMWI. Ni hatari...
- Je, magonjwa ya zinaa yanaweza kuenea ukitoa uume kabla ya kumwaga mbegu? Ndiyo, magonjwa ya zinaa yanaweza kuenea, hata ukitoa uume kabla ya kumwaga mbegu. Mwenye magonjwa ya zinaa mara nyingi ana...
- Je, ni matatizo yapi yanayotokana na ujauzito katika umri mkubwa? Kwa wanawake wenye miaka zaidi ya 35 uwezekano wa kupata matatizo ya kiafya wakati wa ujauzito au wakati wa kujifungua...
- Kutahiriwa kwa wanaume ni sawa na ukeketaji? Hapana. Ukeketaji na kutahiriwa kwa mwanaume havifanani.Kama kutahiriwa kwa mwanamume ni sawa na ukeketaji basiingebidi uume wote ukatwe kabisa. Katika...