NAMNA YA KUPATA VITABU
Tumekua tukitoa Vitabu hivi bure kwa kipindi kirefu sasa lakini kwa ajili ya kusaidia upatikanaji wake na mwendelezo wa uwepo wake, tunalazimika kuvitoa kwa kukuuzia au kukuchangisha kiasi kidogo.
Unaweza kuchagua na kununua vitabu mbalimbali na kuvilipia kupitia Mitandao ya simu kama vile M-PESA, Airtel Money na Tigo Pesa kirahisi kabisa “automatic” hapo hapo katika simu yako.
Ukishafanya manunuzi, utatumiwa kopi ya kitabu kupitia email yako na utaweza kudownload kitabu chako wakati wowote.
Uwe na Amani kabisa na Uhakika wa kupata Kitabu. Kama utakua umefanya malipo na ukashindwa kukipokea kwa njia ya email, tunaweza pia kukutumia kwa njia ya WhatsApp.
Bofya kitufe cha βDownload Nowβ chini ya kitabu unachotaka kati ya vitabu vifuatavyo hapa chini ili kuchukua.
Utaingiza taarifa zako na kufanya malipo hapohapo ili uweze kudownload na kuhifadhi/kutumiwa kwenye Email yako.
Kwa Maelezo zaidi Unaweza Kuwasiliana kwa kututumia ujumbe wako hapa
AINA YA VITABU
Chagua aina ya vitabu unavyotaka hapa
-
Swahili Books42 products
-
Vitabu vya Misemo1 product
-
Vitabu vya Burudani2 products
-
Vitabu Vya Dini11 products
-
Kilimo na Ufugaji8 products
-
Afya na Utimamu3 products
-
Familia, Mapenzi na Mahusiano12 products
-
Vitabu vya SMS6 products
-
Vitabu vya Vichekesho2 products
-
School Notes: Reading Materials32 products
-
Agriculture4 products
-
Biology4 products
-
History4 products
-
Civics4 products
-
English4 products
-
Kiswahili4 products
-
Chemistry4 products
-
Geography4 products
-
Level One Notes8 products
-
Level Two Notes8 products
-
Level Three Notes8 products
-
Level Four Notes8 products
Recent Comments