Jinsi ya kupata vitabu Online

NAMNA YA KUPATA VITABU

Tumekua tukitoa Vitabu hivi bure kwa kipindi kirefu sasa lakini kwa ajili ya kusaidia upatikanaji wake na mwendelezo wa uwepo wake, tunalazimika kuvitoa kwa kukuuzia au kukuchangisha kiasi kidogo.

Unaweza kuchagua na kununua vitabu mbalimbali na kuvilipia kupitia Mitandao ya simu kama vile M-PESA, Airtel Money na Tigo Pesa kirahisi kabisa “automatic” hapo hapo katika simu yako.

Ukishafanya manunuzi, utatumiwa kopi ya kitabu kupitia email yako na utaweza kudownload kitabu chako wakati wowote.

Uwe na Amani kabisa na Uhakika wa kupata Kitabu. Kama utakua umefanya malipo na ukashindwa kukipokea kwa njia ya email, tunaweza pia kukutumia kwa njia ya WhatsApp.

Bofya kitufe cha โ€œDownload Nowโ€ chini ya kitabu unachotaka kati ya vitabu vifuatavyo hapa chini ili kuchukua.

Utaingiza taarifa zako na kufanya malipo hapohapo ili uweze kudownload na kuhifadhi/kutumiwa kwenye Email yako.

Kwa Maelezo zaidi Unaweza Kuwasiliana kwa kututumia ujumbe wako hapa

AINA YA VITABU

Chagua aina ya vitabu unavyotaka hapa

Views: 1

Shopping Cart