Namkata lakini hakatiki Leave a Comment / By SW - Melkisedeck Shine / December 22, 2017 Kitendawili… Namkata lakini hakatiki Onesha Jibu JIBU: Maji
Nikizidi nalaumiwa, nikipungua nadharauliwa Nikizidi nalaumiwa, nikipungua nadharauliwa. Mimi ni nani?
Nilienda kwa mjomba akanichinjia Jogoo mwenye mguu mmoja Nilienda kwa mjomba akanichinjia Jogoo mwenye mguu mmoja
Kivipi unaweza kusimama nyuma ya Baba yako wakati huo huo amesimama nyuma yako? SWALI: Inawezekanaje kusimama nyuma ya mtu huku na yeye amesimana nyuma yako?