Kivipi unaweza kusimama nyuma ya Baba yako wakati huo huo amesimama nyuma yako? Leave a Comment / By SW - Melkisedeck Shine / March 3, 2022 SWALI: Inawezekanaje kusimama nyuma ya mtu huku na yeye amesimana nyuma yako? Onesha JibuJIBU: Inawezekana kama wote mmegeuziana Migongo
Nikizidi nalaumiwa, nikipungua nadharauliwa Nikizidi nalaumiwa, nikipungua nadharauliwa. Mimi ni nani?
Nilienda kwa mjomba akanichinjia Jogoo mwenye mguu mmoja Nilienda kwa mjomba akanichinjia Jogoo mwenye mguu mmoja