Bwana Afya wa Porini Leave a Comment / By SW - Melkisedeck Shine / December 22, 2017 Kitendawili… Bwana Afya wa Porini Onesha Jibu Fisi
Je, glasi itakuwa vipande vingapi? Mtoto alikua amebeba glasi mkono mmoja na mkono mwingine mpira. Kwa bahati…
Nikizidi nalaumiwa, nikipungua nadharauliwa Nikizidi nalaumiwa, nikipungua nadharauliwa. Mimi ni nani?
Amekufa lakini anasaidia mgonjwa Amekufa lakini anasaidia mgonjwa Onesha Jibu JIBU: mti wa kushikilia mgomba
Nilienda kwa mjomba akanichinjia Jogoo mwenye mguu mmoja Nilienda kwa mjomba akanichinjia Jogoo mwenye mguu mmoja