Namkata lakini hakatiki
Kitendawili…
Namkata lakini hakatiki
Onesha Jibu
JIBU: Maji
Kitendawili…
Namkata lakini hakatiki
JIBU: Maji
Kitendawili…
Unanitizama nimekupiga?
JIBU: Kujikwaa
Kitendawili…
Nilienda kwa mjomba akanichinjia Jogoo mwenye mguu mmoja
JIBU: Uyoga
SWALI: Ni herufi gani tatu zinafuata baada ya MMTNTSS
MMTNTSSNTK: Herufi ya kwanza ya namba Moja mpaka Kumi. Yaani Moja, Mbili, Tatu, Nnne, Tano, Sitaβ¦
Kitendawili…
Bwana Afya wa Porini
Fisi