Uzuri na ubora Leave a Comment / By SW - Melkisedeck Shine / April 24, 2022 Uzuri wa kitu huvutia MACHO lakini ubora wa kitu huuteka MOYO daima. Uzuri haudumu.
Kujithamanisha Tunatakiwa tujithaminishe wenyewe kwa yale tunayoona tunauwezo wa kuyafanya japokuwa watu wengine…
Kushindwa jambo sio Makosa Kushindwa jambo sio Makosa, bali kuacha kufanya jambo kabisa ni makosa makubwa.
Tuwe wenye Hodari na wenye uwezo Tunatakiwa tujenge uhodari na uwezo utakaotusaidia kutumia fursa zilizo wazi mbele yetu.
Thamani ya faida Huwezi kuona thamani ya kitu ambacho hujakigharamia. Faida haina thamani kama haijagharamiwa.
Kuacha jambo au kitu chochote Kuacha kitu chochote kabisa moja kwa moja ni rahisi sana kuliko kufanya…
Kinga ya magonjwa na madhara yote Katika maisha, kinga kuu ya magonjwa na majanga yote ni kujikatalia au…