Kuzima hasira Leave a Comment / By SW - Melkisedeck Shine / November 20, 2022 Kama vile moto unavyozimwa na maji ndivyo vivyo hivyo hasira inamalizwa na maneno ya upole.
Kushindwa jambo sio Makosa Kushindwa jambo sio Makosa, bali kuacha kufanya jambo kabisa ni makosa makubwa.
Tofauti ya Maskini, tajiri na mtu mwenye uchu Tofauti ya maskini, tajiri na mwenye uchu/tamaa ni kwamba; Mtu maskini anafanyakazi…